Wednesday, April 1, 2009


Timu inayo piga kazi mwanzo mwisho.na hatimaye kukosa mpinzani ndani ya TZ baada wa kuchaguliwa kugombe tuzo hizo maarufu kama kili music award kwa miaka yote toka zilipo anzishwa na kuibuka vinara mara tatu mfululizo.Akiongea kwa njia ya simu mkulugenzi wa kampuni hiyo Solomon Lamba amesema kama kawaiga sasa tumeingi tena katika kinyang`anyilo hicho na kusababisha baadhi ya kampuni kuhaha.Wadau na wapenzi wa Empysoulz na soductive rec mnaojua kutambua videoz za ukweli piga kura yako kupitia anwani zifuatazo:
unaweza kuipigia kura kwa SMS! SMS namba maalum iliyo pembeni ya jina la ( EMPTY SOULS ) Andika namba 090 kwenda namba 15522


Pia waweza ingia ktk tovoti hii http://www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.php katika kikundi cha Mtayarishaji Bora wa Video na kisha kubonyeza alama " Kidoti" pembeni ya jina la ( EMPTY SOULS 090 ) na kubonyeza Vote hapo chini. Kwa Njia hii waweza kupiga Kura hata kwa Idadi yoyote kila siku.

Wanaotaka kutuma kupitia posta, andika jina lako, anwani na kisha andika ( EMPTY SOULS ) kisha utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta au fikisha mwenyewe kwenye geti la Tanzania Breweries Ltd, P.O.Box: 9013 Dar es Salaam.

Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwa kuandika ( EMPTY SOULS ) kwenda vote@kilitimetz.com. Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!
shangwe ziendelee siunakumbuka mwaka? jana fanya sasa tuoneeeeeEMPTYSOULZ KWELI NI WAUKWELI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment